MUONGOZO JINSI YA KU-APPLY AJIRA ONLINE- KATIKA MFUMO WA SERIKALI WA AJIRA [AJIRA PORTAL] - BONGO PUSH

Opportunity First

Post Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 2 June 2019

MUONGOZO JINSI YA KU-APPLY AJIRA ONLINE- KATIKA MFUMO WA SERIKALI WA AJIRA [AJIRA PORTAL]

127fccadbf947e255d70346fd5a6e9a2
Katika mfumo huu wa uombaji ajira unashauriwa Kutumia Computer [PC/Laptop] Kufanya Application katika mfumo Huu ili kuepuka Usumbufu. 
Ili kukuwezesha kupata taarifa hii kwa usahihi zaidi tumekuwekea katika mfumo wa PDF ili uweze kufuatilia kwa ukaribu wakati wowote ambao utakua umetulia pakua PDF hapo chini


pdf-download-button

Zingatia Kufuata Hatua zote Kama ilivyoelekezwa kwa Umakini itakua ni hatua nzuri kwako kufanikiwa katika maombi yako.
Kuwa makini: usikubali kutoa rushwa ili uweze kuajiriwa huo ni utapeli

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad