Wakala wa usajili ufilisi na udhamini [RITA] umeanza uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya vifo [Ikiwa mwombaji amepoteza mzazi mmoja au wote] vya waombaji wanaotarajiwa kuomba mikopo ya masomo inayotolewa na bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kwa mwka 2019/2020.
Maombi yote yatafanyika kwa njia ya mtandao pekeee.
Soma zaidi hapa
Pakua tangazo hili ili ulisome kwa umakini zaidi kwa muda wako
No comments:
Post a Comment